WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
njoo Mahenge mjini mkoani morogoro nije Dar es Salaam,Arusha jiji au Babati.idara sekondari.mawasiliano 0652040227,0687648684
 
Mwl idara msingi yupo MBEYA-MBOZI anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka KIBAHA,MORO MJINI au TANGA MJINI.
No:0719361864
0768717534
0757817020
 
NJOO MUSOMA MJINI NIJE MOROGORO,IRINGA,PWANI,TANGA,DAR AU PWANI...idara ya sekondari
 
Nipo Tarime idara ya sekondari nahitaji kwenda maeneo haya
1.Moshi,
2.Tanga
3.Pwani
4.Dar es Salaam

Kama uko tayari nitafute 0717451400 / 0755517076
 
attention!!!!
jana nlpokea cm namba ngeni akinitaarfu kama bado nahitaji kuhama kwan kuna mwl yupo morogoro manispaa angependa kuja Tarime.akidai yeye ni kaka yake akinipa namba niwasiliane nae.nkampigia huyo anayejiita mwalimu kumuulizia!akadai yeye ashahamia mwanza jiji katika majina yaliyotoka ya vibal maalum septemba 2015.nkamuuliza katumia njia ipi akasema yeye aliunganishwa na mtu wa tamisemi na baadae jina lake likawa mtandaoni.
nikamwomba kama naweza saidiwa akasema nitakutumia namba yake.baada ya kupata namba nkaongea nae akadai ntume detail zangu na sehem ambayo ningependa kwenda.lakin akadai kuna transfer cost 88,000 inabid nmtumie mpesa.nilisita kidogo kwa kumuuliza maswal mengi ambayo aliyajibu.akasema kuna majina yanatoka mwezi huu kabla ya uchaguzi hivyo jina langu ni miongoni.kias hicho hakikunisumbua nkamtumia.sasa yule jamaa wa kwanza hapokei cm na huyu anajiita mwl hayupo hewani.nmebaki na mawasiliano na huyu afisa ambaye anasema nijitaidi kukeep mawasiliano.jaman najiona nmelizwa lakin tahadhar kwa wengine.
ikiwa jina halitatoka nitaanika namba hizo tatu.asanteni
 
Njoo MUSOMA MJINI nije kati ya MBEYA / SONGWE / IRINGA / NJOMBE. Idara SEC. 0683698554 / 0762333621
 
njoo arusha ngoro ngoro na mm nije morogoro au tanga . idara sec. 0755707867
 
njoo arusha na mimi nije morogoro au tanga. idara sec. 0755707867
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
njoo arusha na mm nije morogoro au tanga. idara sec 0755707867
 
Kwa anayetaka kuja kahama halmashauri mji... Mimi niende morogoro,tanga,kibaha na kwani...(idara ya sekondari)
 
attention!!!!
jana nlpokea cm namba ngeni akinitaarfu kama bado nahitaji kuhama kwan kuna mwl yupo morogoro manispaa angependa kuja Tarime.akidai yeye ni kaka yake akinipa namba niwasiliane nae.nkampigia huyo anayejiita mwalimu kumuulizia!akadai yeye ashahamia mwanza jiji katika majina yaliyotoka ya vibal maalum septemba 2015.nkamuuliza katumia njia ipi akasema yeye aliunganishwa na mtu wa tamisemi na baadae jina lake likawa mtandaoni.
nikamwomba kama naweza saidiwa akasema nitakutumia namba yake.baada ya kupata namba nkaongea nae akadai ntume detail zangu na sehem ambayo ningependa kwenda.lakin akadai kuna transfer cost 88,000 inabid nmtumie mpesa.nilisita kidogo kwa kumuuliza maswal mengi ambayo aliyajibu.akasema kuna majina yanatoka mwezi huu kabla ya uchaguzi hivyo jina langu ni miongoni.kias hicho hakikunisumbua nkamtumia.sasa yule jamaa wa kwanza hapokei cm na huyu anajiita mwl hayupo hewani.nmebaki na mawasiliano na huyu afisa ambaye anasema nijitaidi kukeep mawasiliano.jaman najiona nmelizwa lakin tahadhar kwa wengine.
ikiwa jina halitatoka nitaanika namba hizo tatu.asanteni

Pole mkubwa nicheki hapa 0762802437 yalishanikuta inaweza ikakusaidia.
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Njoo Morogoro kilombero nije dar wilaya ya Kinondoni nipo sekondari 0713453617 au 0754943877
 
Back
Top Bottom