kichelepure
Member
- Mar 31, 2014
- 95
- 36
njoo Mahenge mjini mkoani morogoro nije Dar es Salaam,Arusha jiji au Babati.idara sekondari.mawasiliano 0652040227,0687648684
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kigoma manispaa huku karibu na kwenu, nije njombe.
attention!!!!
jana nlpokea cm namba ngeni akinitaarfu kama bado nahitaji kuhama kwan kuna mwl yupo morogoro manispaa angependa kuja Tarime.akidai yeye ni kaka yake akinipa namba niwasiliane nae.nkampigia huyo anayejiita mwalimu kumuulizia!akadai yeye ashahamia mwanza jiji katika majina yaliyotoka ya vibal maalum septemba 2015.nkamuuliza katumia njia ipi akasema yeye aliunganishwa na mtu wa tamisemi na baadae jina lake likawa mtandaoni.
nikamwomba kama naweza saidiwa akasema nitakutumia namba yake.baada ya kupata namba nkaongea nae akadai ntume detail zangu na sehem ambayo ningependa kwenda.lakin akadai kuna transfer cost 88,000 inabid nmtumie mpesa.nilisita kidogo kwa kumuuliza maswal mengi ambayo aliyajibu.akasema kuna majina yanatoka mwezi huu kabla ya uchaguzi hivyo jina langu ni miongoni.kias hicho hakikunisumbua nkamtumia.sasa yule jamaa wa kwanza hapokei cm na huyu anajiita mwl hayupo hewani.nmebaki na mawasiliano na huyu afisa ambaye anasema nijitaidi kukeep mawasiliano.jaman najiona nmelizwa lakin tahadhar kwa wengine.
ikiwa jina halitatoka nitaanika namba hizo tatu.asanteni
Naenda kigoma kibondo aje Mbeya/Njombe/Iringa idara msingi 0715904249