mwl. MAKAI WA MPANDA MJINI/MANISPAA - KATAVI Njoo MPANDA MJINI -KATAVI nije MKURANGA, ILALA, TEMEKE, KINONDONI, KISARAWE AU KIBAHA (Idara ya SEKONDARI) 0714 905 633 AU 0762 943 330
Anayetaka kuja Tanga mjini mwalimu wa sec mm niende dar anitafute pia kuna anayetaka kubadilishana yy yupo Geita wilaya ya katoro ila ni mwl wa msingi kwenda wilya za moro,pwan au tanga tutafutane pia