WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, DC,moshi vijijin, Hai, siha,chalinze, kibaha, bagamoyo, or dar es salaam idr mcng 0764910615
 
mimi mwl wa shule ya sekondari wilaya ya mlele mkoa wa katavi natafuta mwl wa kubadilishana anayefanya kazi mkoa wa mbeya.mawasiliano 0765361068
 
Njoo Mwanza nije
Morogoro manispaa
Mkulanga
Dar wilaya yyte
Chalinze
Dodoma manispaa
Tabora manispaa na
Iringa manispaa
Idara msingi
0755084367
0654360550
 
mwl aje meatu simiyu nami niende babati manyara elimu msingi piga 0764556647
 
Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha , chalinze, mlandizi, bagamoyo, or dar es salaam idr mcngi 0764910615
 
Anayetaka kuja wilaya ya masasi mie niende kahama.idara secondary 0763677267


PIA anayetaka kuja wilaya ya kyela yeye aende kahama mji idara ya secondar nicheck .
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tusaidiane idara ya secondari.
 
Njoo nachingwea lindi mimi nije moja wapo sehem zifuatazo mbeya vijijin au jiji, mbozi, mbarali, rungwe, tunduma, iringa au njombe kwa idara ya msingi 0718294989 au 0786211063
 
habari za leo,

nauliza kama ulishafanikiwa kubadilisha kituo cha kazi tubadilisha tafadhali.
 
Njoo LUSHOTO, nije Korogwe, Muheza, Tanga mj, Moro, Dom etc nikipenda. Idara ya Elimu Sekondari 0717008771
 
Back
Top Bottom