WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nipo masasi idara sec. Kwa yeyote aliye tayari kuja huku masasa mimi niende mkoa wowote kanda ya kaskazini
 
Njoo Busokelo Tukuyu shule mwakaleli sekondari mim nije iringa mjini au iringa vijijin kwa mawasiliano ni pm.
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha, bagamoyo, chalinze, mlandizi or dar es salaam idr mcngi 0764910615
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Njoo singida nije rombo idara sekondari 0757409740
 
Naomba mwalimu anayetaka kuja mkoa wa Geita wilaya ya Chato mimi niende iringa, rukwa, mbeya, na Njombe. simu 0757918700 au 0674827760
 
Back
Top Bottom