Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Mwl idara msingi yupo Tarime anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka DAR au PWANI
0652488836 au 0765229767
 
Mimi Bartholomew Temba,Mwl wa sekondari mwenye (TSD no 18.05/T.12) katika Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu natafuta Mwl wa kubadilishana kituo cha kazi. Yeye aje wilaya maswa na mimi nije wilaya ya wilya ya dodoma ,Chamwino na kongwa. Mawasiliano; 0756666613.
 
Njoo mbeya wilaya ya rungwe nije tanga idara mwl msingi no 0752943198
 
1: njoo arusha ngorongoro na mm nije rukwa, sumbawanga au mbeya idara sec. 0755204636


2: njoo arusha ngorongoro na mm nije morogoro au tanga. idara sec. 0755707867
 
Walimu kwa yoyote anaetaka kubadilishana vituo vya kazi idara sec, njoo Lushoto_Bumbuli
Mimi nije ulipo wewe, mkoa Pwani, Morogoro, Mtwara, Dodoma, Mbeya Iringa, shinyanga Tabora, ni Pm km upo tayari
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije HAI Kilimanjaro, Moshi vijijini, Moshi Manispaa, Siha, Rombo, kama upo tayari 0758121353, 0717690221, 0684533627.
 
Njoo Geita- Katoro,, aje Morogoro wilaya yeyote. Idara sekondari. Mawasiliano zaidi PM.
 
njoo morogoro kilosa mjini....nije dodoma mjini wahi nafasi hii adimu...idara ya sekondari 0716589410
 
njoo kondoa mjini mdogo wangu aje dodoma mjin au morogoro idara ya sekondari 0716589410
 
Niko Muheza Mimi nije morogoro mjini,mvomero.gairo, au iringa mjini idara sekondari
 
Mwalimu yupo iringa badilishana nae yeye aje dar au MOROGORO idara secondary 0654669684
 
Njoo ruvuma tunduru nije simiyu Mara mwanza geita idara sec 0754509767
 
jamani watu wa newala mbona hamtaki kuja kwenu huku NEWALA MTWARA......nije wilaya yeyote morogoro.........idara ya sekondari......0752 59 90 66......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…