mimi mwl KADUMA natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kutoka njombe, wanging'ombe, mbeya mjini, au tukuyu yeyote kutoka mojawapo ya sehemu hizo yeye aje halmashauri ya wilaya ya mufindi. Idara; ELIMU MSINGI. Mawasiliano:0628166361(halotel) AU 0768229804(voda)
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo: