WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo masasi mjini nije kibaha, morogoro mjini idara secondary.
Mawasiliano: 0682762270
 
Njoo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Mwl Emanuel yupo Mtwara mjini anatafuta mwl wakubaditishana nae kutoka morogoro mijini au mvomero au Dodoma mjini
No:0657513606
 
Njoo morogoro -ulanga nije dar,pwani wilaya yoyote sekondari 0767292827,0785797504,0716171114
 
Mwl Emanuel idara sec yupo anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka morogoro-mjini au mvomero au Dodoma mjini.
No:0657513606
 
mimi mwl KADUMA natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kutoka njombe, wanging'ombe, mbeya mjini, au tukuyu yeyote kutoka mojawapo ya sehemu hizo yeye aje halmashauri ya wilaya ya mufindi. Idara; ELIMU MSINGI. Mawasiliano:0628166361(halotel) AU 0768229804(voda)
 
njoo handeni Tanga nije
temeke
ilala
kinondoni
mkuranga
kibaha
kisarawe
idara sec
0786475050
0715475050
 
Katika mbadilishano huu Wa vituo kuna mliofanikiwa?
 
Njoo Bukombe (Geita)-Ushirombo mjini, idara Secondary mimi nije Ilemela, Nyamagana, Sengerema mjini, Dar, Kibaha, Iringa town au Mbeya Vijijini. Ni PM
 
Njooo lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai
Kilimanjaro, Siha, Rombo, Moshi vijijini, Moshi
mjini. 0684533627, 0717690221, 0758121353
 
Njooo lushoto Tanga idara ya msingi nije Hai
Kilimanjaro, Siha, Rombo, Moshi vijijini, Moshi
mjini. 0684533627, 0717690221, 0758121353
 
Njoo bumbuli_lushoto
mm nije ulipo kigoma, kahama, moro, dom, mwanz, mbeya, n. K
idara sec
0714536075
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Back
Top Bottom