BigFish Classic
Member
- Dec 10, 2011
- 35
- 3
Mi nipo manyara wilaya ya babati natafuta wa kubadilishana naye aliyeko simanjiro au klm mawasiliano 0782424370,(secondr
NIKO BIHARAMULO ALIYE DODOMA MJINI AU CHAMWINO ANICHEK KUPTIA elbinmuna@gmail.com
chamwino ya wapi wewee? Nicheki kwa na 0756231236
Mimi tangu inaanzishwa hii thread nipo hadi leo hii mwaka unaisha sasa.
Nko moro-kilosa, natafut wa kubadilshan nae kutoka shinyanga---idara-secondary.
pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?