WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
joo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Njoo morogoro ulanga shule iko karibu na ifakara mjini nije dar au pwani wilaya yoyote!!!sekondari 0767292827/0785797504/0716171114
 
niko geita natafuta wa kubadilishana naye aje geita nije dar au bagamoyo au pwani au morogoro
 
Mimi ni Mwl wa sekondari nipo wilaya ya KAKONKO mkoani KIGOMA nahitaji mwl wa kubadirishana kituo cha kazi kutoka Iringa, Tanga,Morogoro.

wawezaniPM tuwasiliane zaidi.
 
hivi kwanini mnataka kuhama jamani? wote mkitaka kuja mjini huko vijijini atabakia nani kufundisha?

Tofautisha kati ya Kuhama na Kubadilishana vituo vya kazi usikurupuke!!!
Hapa watu wanahangaika kutafuta watu wa kubadilishana nao yani huyu aende kule na yule arud pale..
Uhamisho unafatiliwa Kwenye ofisi za Halmashauri!!watu wanahama na.kubadilishana kwa sababu mbalimbali!!kama Kuumwa,kuwa karibu na.familia zao,,au wazee wao !!Wacha kukatisha tamaa wenzio!!
 
Samahanini lakini eti kubadilishana vituo vya kazi ni lazima mfanane masomo mnayofundisha siku hizi ama nauliza tu coz kuna kesy imemkuta ndugu yangu mmoja
 
ALIYETAYARI
njoo h/w ushetu(kahama) shinyanga.mwenzio aje TANGA wilaya yoyote.
nikarbu na mikoa ya GEITA,MWZ,SIMIYU na tabora.idara elimu mcng mawasiliano:
0684711818.
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
joo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Back
Top Bottom