Muungwana Action
Member
- Jan 14, 2012
- 29
- 6
Sio lazma nduguSamahanini lakini eti kubadilishana vituo vya kazi ni lazima mfanane masomo mnayofundisha siku hizi ama nauliza tu coz kuna kesy imemkuta ndugu yangu mmoja
nani aliekukatisha tamaa?!! wewe ukitaka kuomba huo uhamisho omba tu hakuna anayekukataza ila mwisho wa siku ukweli unabaki palepale hamna sababu za msingi zinazowasukuma kufanya hivyo na ndiyo maana kila siku mnahangaika humu. kama kweli hizo sababu ulizozitaja zina mashiko ina maana wengi wenu familia zenu ama wazee wenu wako mijini tu? maana wengi wenu ndiyo mnaomba kuhamishiwa mijini kutoka vijijini!!!
Mwl njoo busokelo tukuyu shule ya sec mwakaleli mimi nije iringa mjin au iringa vijijin