Njoo MSALALA/KAHAMA-SHINYANGA idara sekondari nije mkoa wa KILIMANJARO(MOSHI AU SAME) AU TANGA(KOROGWE).nichek 0758615862
 
Njoo MSALALA/KAHAMA-SHINYANGA idara sekondari nije mkoa wa KILIMANJARO(MOSHI AU SAME) AU TANGA(KOROGWE).nichek 0758615862
 
Mwl nipo Rukwa ninatafuta wa kubadilishana kituo cha kaz idara msingi njoo huku Rukwa mm nine
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Pwani
Dar
Songea
Dodoma

0689976850
 
Wa kuja maswa mkoa wa simiyu nije mkoa wowote au wilaya yoyote moro, pwani, mbeya, kilimanjaro au iringa mjuze na mwenzako idara ya sec 0759026008
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana idara ya sec yeye aje BUKOBA Mjini kutoka arusha, dodoma au babati anitafute kwa 0765661749
 
mimi nipo Mwanga Kilimanjaro nataka Arusha mjini au USA ,alieko tayari tuwasliane kwa.no 0764623842,nipo tarafa ya usangi ,kila kitu kipo maji ,umeme,hudumq.zq afya,usafiri,vyqkula ndo usisemw,hali ya hewa nzuri isiyosupport uwepo wa mbu,makaria na typhoid hakuna kwani maji ya bomba ni salamq na ni fresh,nataka kuhama kwa ajili ya kumfuata mume wangu
 
mwalimu yupo bukoba(v),idara sekondari,anatafuta mtu wa kubadlshana kituo cha kazi na mtu yeyote atokaye mkoa wa simiyu,kama uko tayari ni pm
 
Mwalimu yupo Bunda vijijini idara sec anatafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa ifuatayo
Morogoro
Iringa
Njombe
Mbeya
Ruvuma
Mawasiliano 0757688964 Tusaidiane jamani ukiona tangazo ili mwambie na mwezako
 
Njoo Nyasa mkoa wa Ruvuma idara sec nije Njombe Iringa na Mbeya
mawasiliano 0753925510
 
Mwalimu yupo Nzega idara shule ya msingi anatafuta mwalim wa kubadilishana naye kutoka mkoa wa
Iringa
Njombe
Ruvuma
mawasiliano 0753925510
 
njoo kigoma halmashauri ya uvinza idara secondari nije mikoa ifuatayo
1.Tanga
2.morogoro
3.kilimanjaro
4.arusha
mawasiliano 0759294715
kama una rafiki yako,ndugu yako anataka kurudi kwao kigoma mtaarifu plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…