Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji mwalimu wakubadilishana naye anayeweza kuja fanya kazi morogoro mjini,atoke Njombe au Iringa Mjni
hapana nataka hayo maeneo niliyotaja
Tanga korogwe jee,kuna ndugu yangu anatafuta mtu
Nipo Dar nataka nihamie kwa Katavi mzee, fanya mambo basi!! Nasikia kule walimu wanafavour nyingi sana.
Mimi Nipo Manyara Ila Mpakani Na Kilimanjaro,ila Nilishahama Sijui Kama Inawezekana Tena,Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.