WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Natafuta wa kubadilishana nae aje Shinyanga niende Arusha please nipm idara Sekondari
 
Njoo Tanga, Bumbuli nije Moro town, Mkuranga, Kibiti, Kilosa, Mvomero au Kibaha.
Cheki 0715134420
 
Njoo morogoro-ulanga,shule inaitwa ulanga sekondari iko karibu na ifakara mjini naul buku2000 nije dar,kibaha,mkuranga,rufiji,kusiju,bagamoyo nk Idara ya sekondari 0767292827,0716171114.
 
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
Mimi Nipo Manyara Ila Mpakani Na Kilimanjaro,ila Nilishahama Sijui Kama Inawezekana Tena,
 
njoo KILINDI TANGA nije mbeya mjini au rungwe...kibaha bagamoyo,,mkuranga,,,kisarawe... korogwe....muheza au tanga mjin wasiliana kwa 0686 973 854
 
njoo tanga kilindi nije korogwe muheza tanga mjini mkinga...bagamoyo kisarawe...kibaha...mkuranga mbeya mjin rungwe....idara sec 0686 973 854
 
Njoo Newala (Mikumbi Sec) Nije Vikindu, Mkulanga au Kisarawe Mkoa wa Pwani nicheck 0688007371 au 0714217107
 
Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha or dar es salaam idr mcngi 0764910615 au 0742501589
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Back
Top Bottom