Mkwele mie
Member
- May 25, 2015
- 61
- 2
Njoo ulanga morogoro niko tiari kwenda Dodom au pwani
iringa sehemu gan?
Iringa dc
c0ntact plz if pocp0
ndugu yangu natamanitsana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili