njoo MASWA SHINYANGA AU MKOA MPYA WA SIMIYU mimi nije MBEYA katika wilaya zifuatazoo
mbeya jiji
mbeya vijijini
mbozi
momba
rungwe
busokero
 
jamani wasukumaa njooni kwenuu MASWA mimi nirudii kwetuu MBEYA wilaya yoyotee idara ya SEKONDARI 0756945368
 
Mwl nipo Rukwa idara msingi ninatafuta wa kubadolishana ili niende mikoa ya
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Dar
Pwani
0689976850
 
Mwalimu yupo iringa dc anatafta mwalimu wa kubadilishana nae mkoa wa pwan wilaya yoyote..... 0718145989.........idara ya sekondari
 
njoo nyasa nije mbeya, iringa, njombe au morogoro. sekondari. 0766 538 148
 
Jaman mie pia naomba niulize juu ya hili hivi ni lazima mie nikitoka wilaya flani na ninae badilishana nar lazima aende wilaya hiyohoyoo??? Pia nahtaji wa kuja moro nkaenda dodoma wilaya yoyote
 
jamani wa MASWA hawamoo humu wanaofundishaa MBEYA??? rudini nyumbani jamanii tena MASWA mjini shule ya BINZA SEKONDARI 0756945368
 
Jaman mie pia naomba niulize juu ya hili hivi ni lazima mie nikitoka wilaya flani na ninae badilishana nar lazima aende wilaya hiyohoyoo??? Pia nahtaji wa kuja moro nkaenda dodoma wilaya yoyote

Halmashauri...Ni lazima unapotoka halmashauri flani na umaebadilishana nae pia aende halmashauri hiohio...na ww uende ile aliotoka
 
MIMI NATAKA NIRUDI MBEYA NIPO MASWA mwenye kurudii MASWA jamani idara secondari tuwasilianee 0756945368
 
Njoo BUKOBA Mjini nije babati, arusha au dodoma idara ya sekondari kama uko tayari nitafute kwa namba 0765661749
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…