WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo nzega nije morogoro municipal au iringa town hata songea co mbaya
0783 849 385 idara secondary

Huu ni ukweli na uhakika sikuvunji moyo kwa Moro municipal su Iringa municipal hupati kwa kubadilishana never!
Jaribu hata kwa vijijini
 
kuna rfili angu yupo dodoma -mpwapwa...anataka kubadilishana na mtu toka kibaha au dsm..alie tayar 0718393998.idara sekondar
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654425007
 
mwalimu nipo rorya Mara natafuta mwalimu wa kubadilishana toka Dodoma wilaya yoyote idara sec 0789865905
 
Mwalimu Khadija(sekondari, degree) anatafuta wa kubadilishana nae kituo, yupo Kiteto anahitaji kwenda Tanga mjini kuungana na familia yake. Kwa anaetaka kuja Kiteto awasiliane nae kupita email. kadogoo2@gmail.com.
 
Mwalimu MICHAEL M KAZUNGU wa MASWA anahitaji mtu wa kubadilishana naye toka MBEYA wilaya yoyote CONTACT 0756945368 IDARA YA SEKONDARI
 
Mwl. Bethuel Sikawa wa Ngorongoro... NAFTA wa kubadlshana na MTU ... Yeye atoke ama Arusha JJ, Arusha Dc au meru. Idara ya secondar
 
Jaman natafuta Wakubadilishana nae aje Iringa_Kilolo eneo moja la Ilula mi niende Songea mjin idara sekondari
 
Back
Top Bottom