Mimi natafuta wa kubadilishana ndugu yangu ila nipo kigoma wilaya ya kakonko he uko tayari tufanye mchakato ?
Kama upoa tayari nicheck kwa 0753-533877 au 0717515725
Mimi ni mwalimu wa shahada nimepangwa kigoma wilaya ya kakonko natafuta wa kubadilishana naye kituo cha kazi yeye aje kigoma Mimi nine Tanga(wilaya yoyote) au morogoro aliyetari anicheki kwa 0753533877