WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi natafuta wa kubadilishana ndugu yangu ila nipo kigoma wilaya ya kakonko he uko tayari tufanye mchakato ?
Kama upoa tayari nicheck kwa 0753-533877 au 0717515725
 
Njoo moro -Ulanga-ulanga sek iko milola karibu na ifakara mjini nauli2000 nije Rufiji,mlandizi au kisarawe,0716171114
 
Mimi ni mwalimu wa shahada nimepangwa kigoma wilaya ya kakonko natafuta wa kubadilishana naye kituo cha kazi yeye aje kigoma Mimi nine Tanga(wilaya yoyote) au morogoro aliyetari anicheki kwa 0753533877
 
Mimi nipo masasi, idara sek. Nataka kuhamia kanda ya kaskazn. Aliye tayari ani pm please!
 
Njoo mtwara mjini mm nije morogoro mjini, mvomero, kilosa, gairo au dodoma mjini idara sec 0657513606
 
Njo karatu arusha mimi nije same kilimanjaro.phone 0787291334 OR 0788628489.KARIBU KWENYE MJI WA UTALII
 
Njoo Mtwara Tandahimba, nije Mbinga au Songea. Idara sekondari. 0673815018
 
Njoo Maswa mjini Mkoa Simiyu nije Mtwara mjini au vijijini Idara Secondary, kwa aliyetayari nichack kupitia 0766849205 or 0656824479
 
Back
Top Bottom