Kwema wandugu, kama kuna mwalimu aliyependa kuja kanda ya ziwa RORYA -MARA yeye aje Tanga wilaya ya HANDENI, KOROGWE AU KILINDI idara ya secondary tuwasiliane kwa 0762802437.
Mimi ni mwl nafundisha halmashauri ya same kilimanjaro,natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili mimi niende Ilemela au Nyamagana mwanza,tuwasiliane kwa namba 0763710002 au 0764690011
Mwalimu wa Sekondari anataka kuja Manispaa ya Tabora Mjini kama wewe upo tayari kwenda Manispaa ya Ilala Dar Es Salaam. Mawasiliano Piga simu, SMS, AU WhatsApp no.0784 802 215
Kwema wandugu, kama kuna mwalimu aliyependa kuja kanda ya ziwa RORYA -MARA yeye aje Tanga wilaya ya HANDENI, KOROGWE AU KILINDI idara ya secondary tuwasiliane kwa 0762802437.