WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje BARIADI SIMIYU nije mkoa wa IRINGA,MOROGORO au PWANI kama uko tayari nitafute kwa 0762 655827,0652835965,0713222582,
 
Niko mwanza kwimba nahitaji kubadilishana na mwalimu aliyeko; njombe, iringa, moro, mbeya au ruvuma, idara ni sekondari, lengo ni kuwa jirani na nyumbani. Kwa aliye tayari ani PM au kama una information tujuzane pm.
Kuna mtu yuko mbeya ndugu anahitaji mwanza xo nicheki ntakuunganisha nae.
 
Mwalimu yuko muleba kagera anataks kurudi mbeya, km vp nicheki kwenye namba hii 0762701318 elimu msingi....
 
Back
Top Bottom