WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Kwema wandugu, kama kuna mwalimu anayependa kuja kanda ya ziwa RORYA -MARA yeye aje Tanga wilaya ya HANDENI, KOROGWE AU KILINDIidara ya secondary tuwasiliane kwa 0762802437.
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa au Njombe wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0654-425007/0767-425007
 
anaehitaji kuja kusini halmashauri ya masasi hapa ndanda mimi niende mkuranga au kisarawe tuwasiliane kwa namba 0786095905 idara elimu msingi
 
Mimi mi mwalimu wa shule ya msingi nipo kahama shinyanga natafuta wa kubadilishana nae kuja kibaha au bagamoyo Plz kama uko tayar nichek Private masage
 
Njoo moro ulanga milola karibu na ifakara mjini nije kibiti,utete,mkuranga,kisiju,kibaha,rufiji au bagamoyo,sekondari 0767292827,0716171114
 
Njoo Ngara - kagera Nije Kilimanjaro, Arusha, Manyara au Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha,
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani wilaya yoyote sekondari!
0758165769
 
Back
Top Bottom