habari walimu....anayetaka kuja harmashauri ya NEWALA (mtwara) mi nije wilaya yeyote ya mkoa wa morogoro.....au wilaya yeyote ya mkoa wa njombe na iringa au wilaya yeyote mwanza...karibuni 0752 59 90 66 tuwasiliane ndugu
 
NJOO NEWALA(MTWARA) mi nije MUSOMA....0752 599066 au nije Dodoma manispaa au singida manispaa
 
njoo tanga kilindi tanga mwalim aje iringa mbeya songea mbinga morogoro bagamoyo kibaha mkuranga idara sec wasiliana nae kwa 0768 766 457
 
Natafuta mwl wa kubadilishanane yeye aje mwanza ilemela muncipal na mm niece geita vijijini yaani awe anatoka halimashauri ya geita vijjini mawasiliano 0752752916
Mtahalifu ndugu ,jamaa na marafiki upatapo ujumbe huu
 
Njoo Ngara -kagera Nije Arusha, Kilimanjaro, Manyara au Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara -kagera Nije Arusha, Kilimanjaro, Manyara au Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara -kagera Nije Arusha, Kilimanjaro, Manyara au Tanga wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Mwalimu Toka Wilaya ya Kongwa Dodoma anataka mwalimu wa kubadilishana naye kutoka Njombe, Makambako, Wanging'ombe, au Mbeya idara sekondari awasiliane nami kupitia 0766849205
Mwalimu Toka Tandahimba Mtwara anataka mwalimu wa kubadilishana naye kutoka Iringa, Njombe, au Mbeya Rungwe, idara sekondari kwa mawasiliano ni 0766849205
Kwa anayetaka kuja Maswa Simiyu na mwenzie aende Mtwara Mjini au vijijini idara sekondari piga 0766849205.
 
Njoo MUSOMA
Nije PWANI
Dar
MOROGORO
Dodoma
0653351265
0785077035
0753629314
Idara ya msingi
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoa wa arusha wilaya ya monduli. Natafuta mtu anaefundisha mbeya ili tubadilishane yeye aje arusha na mimi niende mbeya.
 
Mwl nipo Rukwa ninatafuta wa kubadilishana idara msingi ninahitaji kwenda wilaya yoyote ktk mikoa ya
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Pwani
Dar
0689976850
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…