Ndugu JF. Mimi ni Mwalimu wa sekondari Zebeya, Wilaya ya Maswa- Simiyu nachukua nafasi hii kuomba kubadilishana Kituo cha kazi Na Mwalimu wa Sekondari tokea Morogoro, wilaya ya Mvomero.
Mwl anayetka kuja mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha, chalinze, mlandizi or dar es salaam idr mcngi 0764910615 au 0742501589. In God we trust