WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu yeyote anayehitaji kuja LUDEWA na Mimi kwenda IRINGA(manispaa), MBEYA(jijini ) na NJOMBE (manispaa au wilaya ya wanging'ombe) anitafute kupitia! 0753923520.
 
Njoo Tukuyu-Rungwe nije
Arusha
Kilimanjaro
Pwani
Dar es salaam. Idara msingi.
Mawasiliano 0717629898
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo, kibaha, rufiji 0653795210 0718145989
 
Walimu kwa aliye interested na iringa mimi nije pwani wilaya ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo na kibaha tuwasiliane 0653795210 0718145989 zawadi nono itatolewa kwa aliye tayari kubadilishana....
 
njoo ushetu kahama nije mwanza ilemela dodoma manispaa 0788957262
 
mwl anayehita kuja kwimba mwanza mimi nije
morogoro mjini idara msingi 0788759737
 
Wadau natafuta mwalimu wa kubadilishana nae mim nipo ruvuma, wilaya ya songea-madaba nataka niende sikonge, Tabora. Mwenye kukubali tuwasiliane 0783384201
pole sana madaba ni mbali sana sikonge,niliishi liti kitambo
 
Njoo Kilwa Masoko nije Kinondoni,Temeke,Ilala,Bagamoyo au Kibaha.Idara Secondary nakupa xule ya town bahari hii na stand kuu
 
mwalimuu njoo maswa simiyu mwalimu aje mbeya wilaya yoyotee na sumbawanga km yupoo na njombe pia nipo tayalii
 
Back
Top Bottom