KAMA YUPO TAYARI AJE TUNDURU,SHULE YA MGOMBA SEKONDARI IPO MJINI,NI TEXT TUANZE MICHAKATONina rafiki yangu yupo dodoma wilaya ya Bahi... Anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi mkoa ruvuma, wilaya ya songea mjini
NJOO TUNDURU -RUVUMA,SHULE YA MGOMBA IPO TOWN KAKAHalord M.Lunyungu nipo wilaya ya ulanga mahenge Morogoro hapa,,njoo mie nije hapo katika maeneo haya,,Njombe sehemu yeyote,,Songea sehem yeyote,,Rukwa mjini,,Iringa sehemu yeyote,,mbeya sehemu yeyote. Tanga sehemu yeyote.Idara elimu sekondari.0787914799.
nipo halmashauri ya wilaya kilindi-Tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyeko mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUVUMA.
nipo halmashauri ya wilaya kilindi-Tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyeko mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUVUMA.
Mimi nipo tanga nataka ruvuma au mbeya