WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi Alto Mwalongo mwalimu mpya wa shahada 2013 nimepangiwa Bariadi-Shinyanga naomba kubadilishana mwl mpya aliyepangiwa wilaya zifuatazo;Njombe vijijini,Njombe mjini,Ludewa, Mufindi,Rungwe na Mbeya vijijini.Mawasiliano:0755092687/0782244777.
Mimi Alto Mwalongo mwalimu mpya wa shahada 2013 nimepangiwa Bariadi-Shinyanga naomba kubadilishana mwl mpya aliyepangiwa wilaya zifuatazo;Njombe vijijini,Njombe mjini,Ludewa, Mufindi,Rungwe na Mbeya vijijini.Mawasiliano:0755092687/0782244777.

njoo kigoma kaka nije bariadi
 
Wadau mimi ni mwl mpya nimepangiwa kuripoti wilaya ya lushoto Tanga. Ninatafuta mwl yeyote (degree holder) aliyepangwa wilaya ya kasulu au kibondo mkoani kigoma tubadilishane naye aende lushoto mimi nirudi kibondo au kasulu. Mawasiliano 0758290626


Mimi ni MWL ONESMO Niko kakonko wilaya mpya iliyotengwa toka KIBONDO kama utakuwa tayari tubadilishane nije home Tanga..nicheki 0753533877
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoani Tanga-Kilindi, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili yeye aje Tanga mimi niende Geita kwa mawasiliano tuwasiliane kupitia Na. 0784 38 40 89 au 0763 56 39 80 au 0716 79 69 08 tusaidiane ndugu zangu!!!!!



mi Niko kigoma wilaya ya kakonko kama utakuwa poa nicheki kwa Pm tufanye mchakato.
 
Njoo Arusha Meru shule ipo mjini maeneo ya tengeru yeye aje bagamoyo mjini,kibaha mjini, Kisarawe, dar Moro mjini au tanga mjini idara sec
 
njoo lushoto nije iringa au mbeya

njoo kigoma vijjini nije dar au tanga au bagamoyo au pwani

secondary no 0655302098
 
njoo karatu Arussha nije nyamagana,ilemela mwanza
-idara ,sekondari
-0757897060
 
TANGAZO.
Mwl anaetaka kwenda tabora kutoka mbeya.

mwl anaetaka kuja arusha kutoka njombe.

na mwl anaetaka kuja arusha kutoka mbeya wote idara y sekondar, tuwasilian 0787 055538
 
TANGAZO.
Mwl anaetaka kwenda tabora kutoka mbeya.

mwl anaetaka kuja arusha kutoka njombe.

na mwl anaetaka kuja arusha kutoka mbeya wote idara y sekondar, tuwasilian 0787 055538
Arusha sehemu gani
 
Mimi Mwalimu Almas Rwamiye wa kituo cha kazi Mfuru Secondary iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani naomba kubadilishana kituo na Mwalimu yoyote wa secondary kutoka wilaya ya Ilala Dar es Salaam na Manispaa ya Morogoro Mjini kwa mawasiliano zaidi tuwasiline kwa namba zangu 0785966721.....0654209661
 
anayetaka kuja maswa niende mbeya wilaya yoyotee idara ya secondari 0756945368
 
Njoo Ruangwa Lindi,
Nije
Iringa,
Njombe,
Makambako
Mbeya (v)
Mbeya (j )
Idara msingi
0654256397
0768672572
0713672572
 
Back
Top Bottom