Onesmo Barnaba
Member
- Sep 16, 2015
- 98
- 2
Mimi Alto Mwalongo mwalimu mpya wa shahada 2013 nimepangiwa Bariadi-Shinyanga naomba kubadilishana mwl mpya aliyepangiwa wilaya zifuatazo;Njombe vijijini,Njombe mjini,Ludewa, Mufindi,Rungwe na Mbeya vijijini.Mawasiliano:0755092687/0782244777.

Wadau mimi ni mwl mpya nimepangiwa kuripoti wilaya ya lushoto Tanga. Ninatafuta mwl yeyote (degree holder) aliyepangwa wilaya ya kasulu au kibondo mkoani kigoma tubadilishane naye aende lushoto mimi nirudi kibondo au kasulu. Mawasiliano 0758290626
Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoani Tanga-Kilindi, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili yeye aje Tanga mimi niende Geita kwa mawasiliano tuwasiliane kupitia Na. 0784 38 40 89 au 0763 56 39 80 au 0716 79 69 08 tusaidiane ndugu zangu!!!!!
Njoo Longido nije Simiyu/Shy/Mwanza
Arusha sehemu ganiTANGAZO.
Mwl anaetaka kwenda tabora kutoka mbeya.
mwl anaetaka kuja arusha kutoka njombe.
na mwl anaetaka kuja arusha kutoka mbeya wote idara y sekondar, tuwasilian 0787 055538
longidoArusha sehemu gani
Mdogo wangu yuko Tabora-Sikonge idara ya Sekondari anataka kwenda wilaya za Kyerwa/Bkb manispaa mkoa wa Kagera. Aliye tayari anipm mimi ama amtafute kwa namba 0782177775