WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
NIPO WILAYA YA ROMBO TARAKEA MJINI,IDARA YA MSINGI,NATAKA KWENDA MOSHI VIJIJINI,KWA ALIYE TAYARI TUWASILIANE KWA NAMBA 0674504792
 
Kuna mwl yupo wilaya ya rombo tarakea mjini idara ya secondary anataka kwenda moshi vijijini au manispaa kwa aliye tayari mawasiliano ni 0756530665
 
Wanaohitaji Kubadilishana Vituo

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au Mufindi, Mji Njombe au Mji Makambako na Mbeya Jiji(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari au msingi)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa Manispaa, Mufindi,Njombe Mji au Makambako(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe - Ludewa nije Sumbawanga au Mpanda(Idara ya sekondari)

Njoo Rombo - Kilimanjaro nije Mafinga - Iringa au Mji Njombe(Idara ya sekondari)

Njoo Lushoto - Tanga nije Iringa - Mufindi (Idara ya sekondari)

Njoo Katavi - Mlele nije Iringa au Njombe wilaya yeyote( Idara ya msingi)

Mawasiliano: 0654/0767-425007
 
Mwalimu njoo Tukuyu nije Dar es Salaam wilaya yoyote
Mawasiliano 0717629898
Idara msingi
 
Mwalimu njoo Tukuyu mjini nije Dar es salaam wilaya yoyote.
Mawasiliano 0717629898
Idara msingi
 
Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0765185975
 
Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0765185975
 
Mwalimu anayetaka kubadilishana, aje wilaya ya IGUNGA mm nije Mikoa ya Morogoro Pwani, Dar es Salaam,Tanga.
 
WANAOTAKA KUBADILISHANA.
1. Njoo tabora mie niende mbeya.


2, Njoo arusha mie niende njombe.

3, Njoo arusha mie niende mbeya. wote sekondari.
 
Back
Top Bottom