njoo kaliua tabora ni karbu sana na
kigoma
Mwanza
shnyanga
mimi nije
tanga - wilaya yoyote
kilimanjaro-wilaya yoyote
0715217190
 
MWL Elisa wa shule ya sekondari ilulu anatafuta MWL wa kubadilishana kituo cha kazi
 
Kwa aliyeko morogoro au Dodoma idara ya sekondari aje kilwa shule ilulu girls secondary..mm niende alipo kwa mawasiliano zaidi 0678683345..
 
Njoo kilwa Lindi ilulu girls nije rombo au kinondoni. Idara sekondary. Mawasiliano 0684568223
 
Mwalimu njoo iringa nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha 0653795210 0718145989 idara sekondari
 
Mm MWL idara ya sekondari nipo mkoa wa Lindi ,wilaya ya kilwa ,shule ya sekondari ilulu .IPO njiani kuelekea dar ,mm niende shule yoyote ya mbagala ranging tatu. Au mkoa wa tanga wilaya ya lushoto au morogoro mjini. Tafadhali usiache kunitafuta.
Mawasiliano 0657 509114
KARIBU KILWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…