Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0765185975
 
njoo maswa simiyu mwalimu aje mbeya wilaya yoyote au swanga au iringa au njombe idara sec 0756945368
 
Njoo Lindi Manispaa(Lindi mjini),nije: kibaha,mkuranga,kibiti,bagamoyo,dar.Idara ya sekondari,0655913435,au 0784913435
 
Njoo Tukuyu nije Dar es Salaam wilaya yoyote idara msingi
Mawasiliano 0717629898
 
njoo mtwara niende songea,mbinga, njombe au iringa idara sekondar 0765070911
 
Njoo Mtwara niende Songea,Njombe,Mbinga au Iringa idara sekondar 0765070911
 
njoo lindi liwale mjini nije pwani, morogoro au kilimanjaro wilaya yeyote
 
Njoo njombe dc nije songea manispaa ,morogoro manispaa au mbeya jijini ,tukuyu au iringa town mafinga idara sekondari,0718901909
 
Kwa mwalimu anayehutaji kuja NJOMBEE
Na Mimi nije
1. Makambako
2. Iringa mjini
3. Mbeya mjini
4. Dodoma mjini
Wasiliana na me, idara ya secondary @0753923520
 
Kwa mwalimu anayehutaji kuja NJOMBEE-LUDEWA
Na Mimi nije
1. Makambako
2. Iringa mjini
3. Mbeya mjini
4. Dodoma mjini
5. Mafinga mjini
Wasiliana na me, idara ya secondary @0753923520
 
Njooo handeni Tanga nije
Mkuranga
Kibaha
Kisarawe
Rufiji
Temeke
Kinondoni
Ilala
Idara secondary
0786475050
0715475050
 
Njoo
SHINYANGA MJINI
Nije
IRINGA MJINI
Idara ya sec
0769951505
Bonuc itatolewa mchakato ukifanikiwa
 
Jamani mimi ni Mwalimu wa sekondari H/shauli ya wilaya ya Misenyi Mkoani kagera. namtafuta Mwalimu wakubadilishana nae yeye aje H/shauli ya wilaya ya Misenyi mimi niende H/shauli ya wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza. Au hata H/shauli ya Ilemela Mwanza.Tumia ukurasa huu au simu No 0763275320.NB Shule inaitwa Bugandika sekondari. Ipo 7-8km kutoka Bukoba mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…