Syosaamenye
Member
- Jun 7, 2012
- 79
- 7
heshima kwenu wakuu,natafuta mwalimu wap kubadilisha mi nipo tabora mwl grade 3. mawasiliano kwa aliye tayari 0785854807 0762129759 natanguliza shukrani.
We wa ajabu sana! Hivi unatangaza humu? Walimu hawana muda wa kutembelea humu maana mazingira yao magumu sana!!!

Mbona hamsemi walimu ngazi gani? sekondari au primary.?
Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadilishana nae aje kasuru(kigoma),Mimi napenda kufanya kazi wilaya ya njombe,mfindi,au ludewa kwa mawasiliano piga 0766597333