WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
HABARI...
Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi..mimi ni mwalimu wa secondary nipo halmashauri ya NANYAMBA Mtwara...ningependa kubadilishana na mtu aliyepo halmashauri za:-
1.Kahama
2.Ushetu
3.Msalala
4.Mbogwe
5.Nzega
6.Bukombe
Mawasiliano 0717328509, 0782725538 na 0767725538.
 
Njoo karagwe nije mbeya, iringa, njombe, dodoma. Halmshsuri yoyote. Simu 0765407106,0718488587,0764869247
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
NJOO WILAYA YA SONGEA-RUVUMA
IDARA YA SEKONDARI
NIJE HUKO
..TEMEKE
..KINONDONI
..ILALA
..KIBAHA
...MORO TOWN
..KISARAWE
...MLANDIZI
..PWANI

NO..0786262823
 
Njoo karagwe kama mwalimu wa idara ya sekondari, nije mbeya, iringa, njombe na dodoma. Kwa mawasiliano sim no. 0765407106, 0718488587, 0764869247
 
HABARI...
Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi..mimi ni mwalimu wa secondary nipo halmashauri ya NANYAMBA Mtwara...ningependa kubadilishana na mtu aliyepo halmashauri za:-
1.Kahama
2.Ushetu
3.Msalala
4.Mbogwe
5.Nzega
6.Bukombe
Mawasiliano 0717328509, 0782725538 na 0767725538.
 
HABARI...
Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi..mimi ni mwalimu wa secondary nipo halmashauri ya NANYAMBA Mtwara...ningependa kubadilishana na mtu aliyepo halmashauri za:-
1.Kahama
2.Ushetu
3.Msalala
4.Mbogwe
5.Nzega
6.Bukombe
Mawasiliano 0717328509, 0782725538 na 0767725538.
 
NJOO WILAYA YA SONGEA(DC)-RUVUMA

IDARA YA SEKONDARI

NIJE WILAYA ZA...
...MORO TOWN
...TEMEKE
....KIBAHA
....MLANDIZI
....ILALA
....KINONDONI
....KISARAWE

NO....0786262823
 
NJOO SONGEA(DC)---SEKONDARY
NIJE..
MORO TOWN
DAR ES SALAAM
KIBAHA
KISARAWE
MLANDIZI
NO.......0786 26 28 23
 
Back
Top Bottom