WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
natafuta mwl wa idara ya msingi wa kubadilishana nae Kutoka Kilwa Masoko kwenda Mtwara Mjini., so Njoo Kilwa Msoko nije Mtwara Mjini
 
natafuta mwl wa idara ya msingi wa kubadilishana nae Kutoka Kilwa Masoko kwenda Mtwara Mjini., so Njoo Kilwa Msoko nije Mtwara Mjin
 
#############TANGAZO##################

Natafuta mwalimu wa idara ya sekondari yeye aje Tabora Urambo Mimi nije wilaya yoyote katika.mikoa ya Morogoro,pwani,dar es salaam Au Iringa. Ni wilaya yoyote katika mikoa tajwa hapo juu. Kama uko tayari 0686018006 nichek kwa sim ndo rahisi zaidi.
 
Mm mwalimu patrick mbuya niko tarime mjini takata kuhamia walaya yoyote mkoa wa kilimanjaro. Idara ya secondari kwa alie tayari tuwasiliane namba yangu ni 0763185924
 
Njoo njombe aje Hai, bukoba, moshi mji, karagwe (Kayanga)
URL]
 
Njoo Ngara - kagera mimi Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera mimi Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Njoo Ngara - kagera mimi Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Back
Top Bottom