Natafuta mwalimu wa idara ya sekondari yeye aje Tabora Urambo Mimi nije wilaya yoyote katika.mikoa ya Morogoro,pwani,dar es salaam Au Iringa. Ni wilaya yoyote katika mikoa tajwa hapo juu. Kama uko tayari 0686018006 nichek kwa sim ndo rahisi zaidi.
Mm mwalimu patrick mbuya niko tarime mjini takata kuhamia walaya yoyote mkoa wa kilimanjaro. Idara ya secondari kwa alie tayari tuwasiliane namba yangu ni 0763185924