Arusha sehemu gani?0759007829njoo arusha niende mbeya, iringa au njombe,
pia kuna mwl yupo tabora anataka kwenda mbeya, wote sekondari.
0787 055538
Wilaya gani?sogea sogea tabora meku aje arusha
Poa nichek 0759007829Njoo dar ILALA niende SUMBAWANGA
Idara secIdara gani
Njoo Njombe idara secKuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.
0759007829Kuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.
Nipo tubadilishane 0759007829mi nipo dar natafuta mtu wa kigoma au sumbawanga tubadilishane nae. mwl secondary