Duu hii noma mikoa mingine ukipangiwa nikama wamekutupa hatauombe kubadilishana watu utadhani hata hawasomi post yako vile. Wengine humu wanaomba kubadilishana tangu Uzi ( thread) ianzishwe October 28. 2012 hawajapata bado mpaka leo.

Duu kweli aisee nimeamini kuna mikoa inanuksi. utazan haipo tanzania bwanaa.
 
Njoo Lushoto tanga idara ya msingi nije moshi vijijini, hai, siha, rombo, mwanga, same, moshi manispaa. 0758121353, 0717690221, 0684533627.​
 
Ghwalamsha masebho kulonda ubhakinde abhaha,ulishala kuko kopekaya fikwela
 
Natafuta mtu wa kubadilisha nae kituo cha kazi idara PRIMARY
Nipo wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya. wa kubadilshana nae awe wa ARUSHA MJINI alie tayari inbox please
 
Natafuta mtu wa kubadilisha nae kituo cha kazi idara PRIMARY
Nipo wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya. wa kubadilshana nae awe wa ARUSHA MJINI alie tayari inbox please
 
simanjiro upo tayari
 
No Pain No Gain
" Am back"

Kama upo Moro town nitafute uhamie Tanga jiji mimi nije huko.sec.0713142568
 
Njoo halmashauri ya mji tarime(tarime high school) nije Dodoma manispaa /babati manispaa /Morogoro manispaa /arusha jiji 0766765231 /0783223216
 
Njoo halmashauri ya mji tarime (tarime high school) nije Dodoma manispaa /babati manispaa /Morogoro manispaa /arusha jiji 0766765231 /0783223216
 
Njoo halmashauri ya mji tarime (tarime high school) nije Dodoma manispaa /babati manispaa /Morogoro manispaa /arusha jiji 0766765231 /0783223216
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…