Mwalimu njoo morogoro malinyi mwalimu aje Rungwe mbeya
Njoo Rungwe mwalimu aende Kilimanjaro
Njoo Rungwe mwalimu aje Dar es salaam
Mawasiliano 0717629898/ 0755909650
Wote shule ya msingi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Mimi ni mwalimu idara sekondari,nahitaji MTU wa kubadilishana naye kutoka Dodoma manispaa yeye aje Morogoro manispaa.
Karibu
0763989840
Wa Kilimanjaro kashapata mtu. Bado tunahitaji mwalimu Wa kutoka Rungwe anayetaka kwenda morogoro
Na anaetaka kuja Rungwe kutoka Dar es salaam
Mawasiliano 0717629898/0755909650
Nipo Geita DC idara ya second kwa masomo ya history na kiswahili, mwalimu aliyeko wilaya yeyote kwa mikoa ya Mbeya,Iringa au Songwe aje Geita Kagu secondary niende huko. 0764816297. 0712626287.