WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
anaetaka kuja mwanza mimi niende mbeya na wilaya zake . 0763243624,0759929861,0788983597
 
Sasa Sichagui Tena

Ila kama upo Moro town,kibaha au dar njoo Tanga jiji chalii
Sec.call0713142568
 
Mimi ni mwlimu niko manisipaa ya mpanda(katavi), natafuta mwl. wa kubadishana nae, mimi niende kati ya mikoa hii,..
1. MOROGORO MANISPAA
2.SINGIDA MANISPAA
3. KAHAMA MJI.
4.DODOMA MANISPAA,..

aliye tayali tuwasiliane,,,0742871026...(IDARA YA SEKONDARI)
 
Mimi ni mwlimu niko manisipaa ya mpanda(katavi), natafuta mwl. wa kubadishana nae, mimi niende kati ya mikoa hii,..
1. MOROGORO MJINI,
2.SINGIDA MJINI
3. KAHAMA MJI.
4.DODOMA,..

aliye tayari tuwasiliane,,,0742871026...(IDARA YA SEKONDARI)
 
mimi nipo kilolo IRINGA natafuta mtu wa kubadilishana nae nihamie SUMBAWANGA
 
njoo kakonko idara secondary nije
kongwa
chamwino
bahi
chemba
mpwapwa
kondoa
singida wilaya yoyote
morogoro wilaya yoyote
tanga wilaya yoyote
manyara wilaya yoyote
0782468003
 
Sasa Sichagui Tena

Ila kama upo Moro town,kibaha au dar njoo Tanga jiji chalii
Sec.call0713142568
 
SASA NA MIMI SICHAGUI TENA NJOO HAI-KILIMANJARO NIJE NJOMBE,MAKAMBAKO,MBEYA,SONGWE IDARA SECONDARY
 
HAYA WAHI TUWAHI N JOOO HAI NIJE MBEYA,NJOMBE,WANGINGOMBE,NJOMBE IDARA SECONDARY
 
fursa ya bureeee na ya mwisho kwa walimu wa sec school....njo tanga kilindi mwalimu wa bombi hii nyumbii hii arudi kwao songea au mbinga...ata iringa na mbeya co mbaya sana wasiliana nae kwa 0686 973854
 
Njoo Ruvuma wilaya ya Tunduru,Me nije Wilaya ya Songea Manispaa,Idara ya Shule ya Msingi 0687 535650
 
Issue ni Nafasi Hizi

Ila kama upo Moro town,kibaha au dar njoo Tanga jiji chalii
Sec.call0713142568
 
Back
Top Bottom