Mimi ni mwlimu niko manisipaa ya mpanda(katavi), natafuta mwl. wa kubadishana nae, mimi niende kati ya mikoa hii,..
1. MOROGORO MANISPAA
2.SINGIDA MANISPAA
3. KAHAMA MJI.
4.DODOMA MANISPAA,..
aliye tayali tuwasiliane,,,0742871026...(IDARA YA SEKONDARI)
Mimi ni mwlimu niko manisipaa ya mpanda(katavi), natafuta mwl. wa kubadishana nae, mimi niende kati ya mikoa hii,..
1. MOROGORO MJINI,
2.SINGIDA MJINI
3. KAHAMA MJI.
4.DODOMA,..
aliye tayari tuwasiliane,,,0742871026...(IDARA YA SEKONDARI)
njoo kakonko idara secondary nije
kongwa
chamwino
bahi
chemba
mpwapwa
kondoa
singida wilaya yoyote
morogoro wilaya yoyote
tanga wilaya yoyote
manyara wilaya yoyote
0782468003
fursa ya bureeee na ya mwisho kwa walimu wa sec school....njo tanga kilindi mwalimu wa bombi hii nyumbii hii arudi kwao songea au mbinga...ata iringa na mbeya co mbaya sana wasiliana nae kwa 0686 973854