Hahahaaa kuna matombo pia ni marogoro vijijini kumbe.Njoo Moro(v) karibu na Town, sec
Siwasikii walimu wanaotoka Dodoma kabisa
Nipo Moro DC, upo wilaya gan Domtupo wa ddma wapi wewe
po kiongoz upo wap tubadilishane me nipo Moro DCMbona siwasikii watu wakitaka kutoka morogoro kwenda mikoa mingine!?zaidi wengi wanataka kwenda morogoro kutoka mikoa mingine.kulikon morogoro kwa shemeji zangu waruguru?.
we uko wapi aisee?Siwasikii walimu wanaotoka Dodoma kabisa
Nitafute kwa 0767361392 Nipo tayari,weka namba pia au nipigieMwalimu wa Sekondari jijini Mwanza anataka kuhamia Mbeya. Anatafuta mtu wa Mbeya anayetaka kuhamia Mwanza ili wabadilishane
Njoo lindi mkuu,nitafute 0767361392Njoo Geita idala ya secondary nije popote ulipo