Sancho mkwai
Member
- Jan 20, 2016
- 21
- 0
Nipo
Mwanza wewe upo wapi???Toka Kigoma au Mwanza uje hapa kwenu karbu na Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza wewe upo wapi???Toka Kigoma au Mwanza uje hapa kwenu karbu na Dar
0757248589 nipo nyamagana ( mwanza jiji) kama upo sehemu nzuri Nipigie idara ya secondary iwe DSM au kibambabadluck anayetaka ni msingi bro!!!!!!labda nikutafutie
Idara gani mdau 0689976850?Mimi naitwa MWl Nsojigwamva Kulunduma niko liwale lindi nataka kurudi mikoa ya kanda ya ziwa au mkoa wa kigoma,nitafute kwa 0767361392
Kagera huendi mdau aje huko.?Mwl idara msingi nipo Lindi Nahitaji wa kubadilishana nae mm niende mikoa ya Singida, Dodoma au Manyara kwa atakaye hitaji tuwasiliane kupitia.(0672047586,,0783466283)
Weka namba za smu,nicheki 0767361392Njo chato,nije mbeya
idara ya sec
Njoo geitaNjoo mahenge/ulanga nije babati mjini au dar es salaam.shule IPO karibu kabisa na Ifakara.idara sekondari.mawasiliano 0629256810
Hueleweki Tabora wilaya ya Bukoba vijijini au unamaanisha Gamboshi?NIPO TABORA.WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI. NAOMBA KUBADILISHANA NA MWALIMU MKOA WA TANGA WILAYA YOYOTE ILE. PIGA 0782849061
Nina jamaa yangu yupo mtwara anahitaji MTU wakubadilishana nae kwenda kagera idara secondary anayehitaji anipm nimuunganishe nae