Habari wakuu, ndugu yangu anahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi ni mwalimu wa shule ya msingi yuko Dodoma anahitaji kwenda mkoa wowote kati ya hii Iringa, Njombe, Morogoro, Tanga na Pwani. Kwa mawasiliano 0689541620
 
Mimi naitwa MWl Nsojigwamva Kulunduma niko liwale lindi nataka kurudi mikoa ya kanda ya ziwa au mkoa wa kigoma,nitafute kwa 0767361392
 
Mwl idara msingi nipo Lindi Nahitaji wa kubadilishana nae mm niende mikoa ya Singida, Dodoma au Manyara kwa atakaye hitaji tuwasiliane kupitia.(0672047586,,0783466283)
 
Mwl idara msingi Natafuta Mwl wa kubadilishana nae Mimi npo LINDI nahitaji nihamie Wilaya za Tanga-Muheza,,Korogwe,,Pangani au Mkoa wa Morogoro au Kibaha..Tuwasiliane kupitia 0658001368 au 0782845378
 
Mwl yupo kagera Kyelwa idara msingi anatafuta wa kubadilishana kituo na walimu waliopo mikoa ya
Singida
Katavi
Rukwa
Tabora
MBEYA
Njombe
Iringa
Ruvuma
Morogoro
Dar
Pwani
Tanga
Lindi
Mtwara
Dodoma
Mwanza
Songwe-Mkoa mpya
0689976850
 
Mwl yupo Kagera kyerwa idara msingi anatafuta wa kubadilishana kituo cha kazi na walimu waliopo mikoa ya
Mwanza
Singida
Katavi
Dodoma
Rukwa
Tabora
MBEYA
Njombe
Ruvuma
Iringa
Morogoro
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
0689976850
 
NIPO TABORA.WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI. NAOMBA KUBADILISHANA NA MWALIMU MKOA WA TANGA WILAYA YOYOTE ILE. PIGA 0782849061
 
NIPO TABORA.WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI. NAOMBA KUBADILISHANA NA MWALIMU MKOA WA TANGA WILAYA YOYOTE ILE. PIGA 0782849061
Hueleweki Tabora wilaya ya Bukoba vijijini au unamaanisha Gamboshi?
 
No no Kagera bokoba vijijini.sort no mdogo wangu ndo Yuki huko namtaftia
 
Nipo Kagera wilaya ya bukoba vijijini.naomba kubadilishana na Mwl MKOA Wa Tanga WILAYA YOYOTE. 0782849061
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…