Utasubiri sana dada yangu,msalimie afsa elmu wako bwana P.Dotto,kama vipi nikuoe tu make hamna namnaNjoo lindi wilaya ya liwale shule ya sekondari liwale day idara ya sekondari nije arusha,kilimanjaro au pwani 0719311613
Njoo Geita karibu sana na kageraNtwara halmashauri ipi kiongozi?
Kigoma sehemu gani? Tanga ndo pwani yenyeweNjoo kigoma nije pwani
Tanga ni karbu na Moro kama vipi karbu.Mi nipo Mwanza nataka kuhamia moro
Kigoma vijijini Mkigo, Tanga sehem gan?Kigoma sehemu gani? Tanga ndo pwani yenyewe
Kwaiyo hatuoan? hivi unajua kuwa mi nakujua pysically? njoo RM Sec kesho tupige story madam wangu.hahah nimepata mtu mbona