WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Promo Kabambee

Mwalimu amesema anataka Iringa mjin ww uje Tanga jiji.yupo sec.mtafute 0765789060 au nitafute mimi nitawaconect
 
Achana na MCC au Mcc2

Deal ni mwalimu uliyepo Moro town,Dar au Kibaha Fanya tubadilishane uje Tanga jiji.idara sec.call0713142568
 
TUBADILISHANE. Njo Mtwara-Newala nami nije mkoa wa MBEYA.
wilaya ya;
1. Mbeya mjini
2. Mbeya vijijini
3. Rungwe
4. Mbozi
5. Busokelo

NJOO UISHI mji mdogo 😳MAHUTA😳
Idara ya sekondari.0759410327{voda} au 0672109757{tigo}.
 
Mapambano yanaendelea

Njoo Tanga jiji nije Dar au Kibaha au Moro manispaa.sec.call me
0713142568
 
Wqle wa Morogoro,Iringa,Mbeya Pwani wanaotaka Kagera hasa Biharamulo karibu sana. Maelezo ya ziada piga 0684601342.
 
Njoo bunda mjini shule ya sec. Dr. Nchimbi nije Arusha wilaya ya arumeru. Mawasiliano nipm
 
Back
Top Bottom