WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo msalala-kahama nije tanga jiji,kibaha mjini au moshi .idara secondary 07431438378/0687329886
 
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari niko manispaa ya Ilala Dar es Salaam.
Natafuta mtu wa jubadilishana naye aliyeko Ilemela Mwanza, yeye aje Manispaa ya Ilala DSM na mimi nihamie Wilaya ya Ilemela Mwanza.
Kwa ambae yupo tayari tuwasiliane kwa simu na. 0754 485 463
Msalala -kahama ni karibu na mwanza njoo shule ya secondary bugarama nije ilala phone no 0743143878
 
Naweza kuja dar,kibaha au moro town nawe uje tanga jiji.sec.,0713142568
 
Dar,kibaha na Moro town ni sawa.mimi nipo Tanga mjin.njoo tubadilishane.idara ni sec.0713142568
 
TUBADILISHANE. Njo Mtwara-Newala nami nije mkoa wa

A. MBEYA

B. IRINGA

C. NJOMBE

Idara ni sekondari: 0759410327
 
Back
Top Bottom