uko siriazi kweli?Njoo moro DC mtu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko siriazi kweli?Njoo moro DC mtu wangu
Kama upo Kigoma mjini, Kigoma vijijini, Mwanza au Bukoba mjini tafadhari Njoo Tanga karibu kabisa na Dar, hapa amani ipo ya kutosha kabisa.. Tuwahi ajira mpya mwezi wa saba mtu wangu.
Kama upo Kigoma mjini, Kigoma vijijini, Mwanza au Bukoba mjini tafadhari Njoo Tanga karibu kabisa na Dar, hapa amani ipo ya kutosha kabisa.. Tuwahi ajira mpya mwezi wa saba mtu wangu.
Kigoma sehemu gani? Tanga ndo pwani yenyewe
idara sec . kama uko poa nicheki 0753533877Njoo Kakonko- kigoma Mimi nije Tanga,morogoro,Arusha,Kilimanjaro,pwani ,SINGIDA,Iringa au mbeya.
Utatumbuliwa na simba chawene ww ana mpango wa kuwaondoa wote waliohamia dar kwa kisingizio cha ndoavp wadau. kwa mwl yeyote secondari anaetaka kuhamia Tukuyu Mbeya mi nije Dar ani pm. shule ipo pazuri. sababu kuu ya mm kuhama ni kumfuata wife
Idara GAN man NJOO hai-kilimanjaro Idara secNjoo Mbeya rungwe nije Tanga jiji au lushoto 0719678528