Njoo Moro- mahenge/ulanga nije Tanga sehemu yeyote,,kilimanjaro sehemu yeyote,,Arusha sehemu yeyote,,Iringa sehemu yeyote,,mbeya sehemu yeyote.Idara sekondari. 0787914799
wadau naomba kujuzwa,ivi inatakiwa ukae miaka mingapi kituoni ili uweze kuomba uhamisho wa kubadilishana? binafsi nimepata mtu wa kubadilishana nae na kibali kutoka halmashauri ninayotaka kuhamia nimepata sasa huku niliko wamegoma kuandika kibali cha ninayetaka kubadilishana nae eti mpaka nitumikie miaka mitatu,,je ipo sawa hiyo?