WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
joo Arusha DC Mimi nije morogoro manispaa.idara ya sec.Mimi nipo ilboru sec. 0764776655 au 0658221998
 
Nipo Bukoba yeyote aliye tayari kubadilishana tuwasiliane kwa mikoa
-Moro mjini
-dar
-mbeya mjini
-Iringa mjini

Tuwasiliane kwa 0756870950 & 0656406749
 
Njoo kasulu mjini nije kaskazini .idara ya msingi
kilimanjaro
arusha
manyara
babati
tanga
morogoro
0753045623///0784623525
 
Njoo kasulu mjini nije kaskazini wilaya yoyote
kilimanjaro
arusha
manyara
babati
tanga
morogoro
0753045623///0784623525
 
Njoo Bumbuli Tanga, nije kibaha, moro, kilosa, bagamoyo, kibiti. Idara msingi, number 0715134420!
 
Anayetaka kuja mwanza, mimi nije wilaya za kyela au mboz au mbarali au wilaya ya mbeya vijijin au mbeya manispaa au rungwe. Idara sec. 0763 24 36 24 au 0788 98 35 97
 
Back
Top Bottom