WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo MUSOMA MJINI nije kati ya MBEYA MJINI/IRINGA MJINI/NJOMBE MJINI idara SEC. 0756877916 /0683698554
 
mwl msingi njoo kasulu mjini nije mikoa ya kaskazin wilaya yoyote..
ARUSHA KILIMANJARO MANYARA BABATI TANGA MOROGORO 0753045623////0784623525 mwenye utayar anicall
 
Mm ni mwalimu niko halmashauri ya wilaya ya Lushoto idara ya sekondari,nahitaji mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje lushoto mm niende mbeya mjini,mbeya vijijini au mbozi. Aliyetayari anitafute kwa namba 0764785578
 
idara ya sekondari wilaya mkalama nataka kwenda babati , mbulu ,hanang ,arumeru , arusha vjjn na moshi namba yangu 0783101030
 
Nipo Lindi wilaya ya Ruangwa, nataka kuhamia Mwanza, Shinyanga, Tabora, Geita. Tuwasiliane 0713938151
 
njoo kalusu aje kaskazini .KILIMANJR ARUSHA MANYARA BABATI TANGA MOROGORO
 
njoo tabora vijijini( uyui) nije MANYONI idara sekondari mizigo utalipiwa nauli!! 0756638938
 
Back
Top Bottom